MWANZA!!! Get ready for the #STEPUP2014.... Kwa mara ya Kwanza Kabisa!!!, Hapa @diamondplatnumz MONDI hapa NAPPY BOY! @Tpain you Better save the Date!..21| 02 |2015
MWANZA!!! Get ready for the #STEPUP2014.... Kwa mara ya Kwanza Kabisa!!!, Hapa @diamondplatnumz MONDI hapa NAPPY BOY! @Tpain you Better save the Date!..21| 02 |2015
Yuskiss kisiba Kiongozi wa kampuni inayo jihusishana mambo mbalimbali mtandaoni na kisanaa KISIBASHARESKY ENTERTAINMENT ambaye CSW tulifanya mahojiano naye baada ya kuanzisha kitengo utengenezaji wa musiki.Yuskiss alisema ameamua kufanya hivyo kutokanana wasanii wengi wamekuwa wakihitaji msaada kutoka katika tasnia ya film na video lakini wanashindwa kutokana na msaada unakuwa mdogo kwa upande wao pia akaongeza kwa kusema kuwa kwa yoyote mtu mwenye kipaji ambaye atakuwa anajiweza na anajiamini hatosita kufanya nae kazi.
kwa sasa kisibasharesky inahusikana Utengenezaji wa video,graphics,photograph katika majarada na mitindo ya mavazi,Utengenezaji wa midundo aina zote (Beat) Matangazo aina zote mtandaoni,Blog design Pamoja na Cover aina zote Cd,dvd n.k.
kiongozi huyo anawakaribisha sana wale wote watakao penda kushirikiana naye.
kwani mpaka sasa kuna baadhi ya vijana tayari wamesha anza kazi
kama masanii Mc saiba na Dobe guy ambapo hivi karibuni kazi zao zitatoka kuanzia mtandaoni na media pia.
==Imeandikwa na Marry kutoka CSW.==
Leo mwenyekiti wa kundi la Cash point jijini mwanza anasherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwake.
Kwakuonesha utofauti wa hali ya juu katika sherehe yake ambapo Ameambatana na wanakikundi wenzie chief Yuskiss kisiba,Jay 4 shizo manizo,Issa dody, simple girl pamoja na mashabiki wanao penda kundi hilo lenye mtazamo tofauti wa kimaisha Ambapo kundi
.Kundi hilo limepiga hatua katika masoko afrika mashariki katika swala la ujasiriamali pia wameweza kumiliki kampuni zao binafsi kama COM,KIDO TZ Vijana hawa wamekuwa wakifanya vitu vya kipekee katika jamii kwa kuwasaidia watu mbalimbali
misaada pia Cash point imekusanya Vipaji mbalimbali kwakila aliyeomo ndani ya kundi kwakuwatembelea wodi ya wazazi kwakutoa misaada mbambali kwa wakina mama walio jifungua siku yaleo.
Huuni mfano wa kuigwa kwa vijana wa kiyanzania ambao wanaopenda kujiinua kiuchumi kwakuhakikisha wana pambana na umaskini hapa nchini bila ya kutegemea ajira serikalini.
==HAPPY BIRTHDAY DERRICK SWAG==
UTAJIRI wa komediani maarufu nchini Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake.HABARI MEZANIAwali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hili kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo na kugundua kuwa ni kati ya mastaa mabilionea Bongo.“Masanja sio yule tena. Ana mpunga (fedha) mrefu sana. Hakuna msanii wa maigizo Bongo anayeweza kumfikia kwa sasa. Hao wengine ni mbwembwe tu, lakini pesa imelala kwa Masanja,” kilipasha chanzo chetu.Kikaongeza: “Kwanza ana ghorofa lipo Tabata, hapo ndipo anapoishi. Pia ana magari kibao ya kifahari, mashamba ya mpunga na Kampuni ya OK Security inayolinda sehemu mbalimbali zikiwemo taasisi nyeti nchini.Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa kwenye pozi na miongoni mwa magari yake.“Ni msanii gani mwenye kampuni kubwa kama ya Masanja? Wengi wanaishia kudai wanatayarisha filamu ambazo hata matunda yake hayaonekani.”Uchunguzi wetu ulibaini ukweli wa mali za msanii huyo na mambo mengine mengi yanayoingia kama vyanzo vya mapato yake.MAGARI SITAIlibainika kuwa, Masanja anamiliki magari sita, yakiwemo ya kifahari. Baadhi ya magari hayo ni Toyota Land Cruiser V8, Nissan Hardboad na Toyota Verossa.NYUMBA TATU BONGOPia, mkali huyo wa kuvunja mbavu, anamiliki nyumba tatu za maana jijini Dar es Salaam, moja ni ghorofa ipo Tabata, nyingine Kigamboni na nyingine haifahamiki eneo rasmi ilipo.Hata hivyo, imebainika kuwa mbali na mijengo yake hiyo iliyopo jijini Dar, nyumbani kwaoMbarali, Mbeya ana mjengo wa maana.MASHAMBA KIBAOMsanii huyo hayupo nyuma kwenye kilimo, ana mashamba kadhaa Kigamboni jijini Dar es Salaam lakini linalotia fora ni lilelililopo Mbarali lenye ukubwa wa hekari 50 ambalo analima mpunga.NI MSANII WAMAIGIZO TAJIRI ZAIDI?Kwa utajiri huo, ipo minong’ono kuwa, nyota huyo anaweza kuwakwenye namba za juu za wasaniiwa maigizo wenye mkwanja mrefu.Wengine wanaotajwa kwenye orodha ya waigizaji matajiri Bongo ni Husna Posh ‘Dotnata’, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ na Amri Athumani ‘Mzee Majuto’.MATAJIRI BONGO FLEVAKatika muziki wa Bongo Fleva, wasanii wanaoaminika wana utajiri mkubwa zaidi ni Judith Wambura ‘Lady Jaydee’, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Joseph Haule ‘Profesa Jay’.Wasanii hao wanamiliki mijengo ya maana, achilia mbali magari ya kifahari na miradi kadhaa.MASWALI KUHUSU MASANJAUtajiri wa Masanja umeonekanakuibuka ghafla huku vyanzo vyake vya kumwingizia kipato vikijulikana ni sanaa ya uigizaji, muziki na huduma ya uchungaji.Je, kwa uigizaji tu katika Kundi laOrijino Komedi ‘OK’ ndiko alikopata mkwanja huo na kuanzisha miradi hiyo mikubwa?Kama ndiyo, kwa nini memba wenzake ndani ya kundi hilo hawana maendeleo makubwa kama yeye?Kazi nyingine ya Masanja ni muziki wa Injili ambapo kwa sasa albamu yake ya Hakuna Jipya iko sokoni. Je, albamu hiyo na shoo anazofanya zinaweza kuwa chanzo cha utajiri huo?Lakini pia Masanja ni mchungajiambaye anahudumu katika Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) ‘Mito ya Baraka’ lilicho chini ya Askofu Bruno Mwakiborwa. Je, mshahara anaoupata kutokana na huduma hiyo unaweza kuwa chanzo cha mapato yake?Risasi Mchanganyiko halikutaka kupasua kichwa, juzi lilimsaka Masanja kwa simu na kumhoji juu ya mali zake ambapo kwanza alithibitisha kweli anamiliki mali hizo na nyingine ambazo hakupenda kuzitaja.“Ni kweli nina nyumba tatu hapa mjini, kampuni ya ulinzi na mashamba ya mpunga eka 50 nyumbani Mbarali, Mbeya. Kuhusu magari pia ni kweli kabisa. Mimi ni mtumishi sitakiwi kusema uongo,” alisemaMasanja.
Diamond Platnumz ndiye msanii aliyetajwa sana kuwania tuzo za KTM2014 katika vipengere kama 6 lakini ameamua kufunguka mtazamowake juu ya BASATA kuhusu kufungiwa kwa baadhi ya nyimbo za wasanii , kupitia katika akaunti yake ya instagram Diamond amefunguka na kuandika maneno mengi ya Busara zaidi kuhusu BASATA.Tazama hii picha uone alichofungukaNANUKUU"ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka nje, kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake Haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka nje... Hii ni sawa na kuzidi kuukuza mziki wa nje huku tukiudidimiza na kuua mziki wetu... Will the target of reaching our goals ever be achieved?? #Ni_Mtazamo_tu"MWISHO WA KUNUKUU






Pichani kushoto ni bi mdada
Chanel Tapper akionyesha urefu
wa ulimi wake
Chanel Tapper ni mwanafunzi wa
chuo cha California Marekani,
ndiye mwanamke wa kwanza
anayeshikilia rekodi ya dunia ya
kuwa na ulimi mrefu kupita
wanawake wote, inasemekana
anaulimi wenye urefu wa sentimita
9.7, baada ya kuingia katika kitabu
cha rekodi za dunia maarufu kama
Guiness , amesema anategemea
wahisani pamoja na hela
atakazopata ziweze kumuendeleza
katika kumaliza chuo na masomo
yake.
Copyright © 2013 Clickshareworld. All rights reserved.
Designed by Templateism.