MWANAMUZIKI {MPIGA TUMBA} MAARUFU NCHINI TANZANIA MASOUD MOHAMED
"MCD"AMEZIKWA RASMI JANA WILAYANI MOSHI MKOANI KILIMANJARO ALIKOKUTWA NA
UMAUTI,MAREHEMU MCD ALIZIKWA JANA MAJIRA YA SAA SABA MCHANA KWENYE
MAKABURI YA NJORO,WILAYANI MOSHI MKOANI KILIMANJARO,MAREHEMU ALIFARIKI
DUNIA JUZI JUMATATU MAJIRA YA SAA NNE USIKU KATIKA HOSPITALI YA
KCMC{KILIMANJARO},IKIWA NI MUDA MFUPI BAADA YA KUFIKISHWA HOSPITALINI
HAPO KWA MATIBABU BAADA YA HALI YAKE KUWA MBAYA,HIZI NI BAADHI YA PICHA
ZA MAZISHI YA MAREHEMU MCD JANA MKOANI KILIMANJARO,
0 comments:
Post a Comment