ads

Wednesday, February 5, 2014

HATUA ZA KUFUATA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI....!

3:24 PM By Unknown No comments

Wapenzi na wanandoa wengi hivi
leo wanapoingia kitandani tayari
kwa kuianza safari ya kupeana haki
zao za msingi hushindwa kufurahia
tendo na hasa hali hii hujitokezwa
kwa wanawake kwani mwanaume
huwa na haraka iliyopitiliza!
Mwanaume atamkumbatia na
kumbusu mwanamke kwa muda
mfupi na kabla hata hamasa ya
mapenzi ya mwanamke ahaijashika
hatama, atamwingilia na ndani ya
dakika sekunde ama dakika
zisizozidi 3, mwanamme hufika
mshindo.
Katika hali ya kusikitisha baada ya
mwanaume kujitosheleza hujongea
pembeni bila kujali mwenza wake
hajafika mwisho wa safari hali
inayosababisha mwanamke
kupoteza hamu ya tendo endapo
endapo tabia hiyo ya mwanaume
itaendelea.
Kunahatua nne muhimu ambazo
wapendanao wakizishika na
kuzitekeleza ipasavyo basi
watafanikiwa kujitosheleza kila
wanapokutana na kwa hakika
watakuwa miongoni mwa watu
wachache wanaofurahia faragha
kila wakutanapo!
Hatua ya kwanza ni
kusameheana:
Wanandoa wengi hushindwa
kupata raha ya mlo wa usiku
kutokana na kushindwa kumaliza
tofauti zao kabla ya giza
halijaingia, mgogoro wowote baina
ya wapendanao ni lazima
umalizwe kabla ya kukutana kwa
ajili ya mlo wa usiku. Hii husaidia
kuondoa kinyongo miongoni mwao
na kuwafanya mioyo yao igubikwe
na upendo ambao humfanya
ahamasike kunako majambo!
Hivyo basi endapo unataka
kufurahia mambo fulani hakikisha
unamaliza tofauti, ombaneni
msamaha na samehaneni kwa
dhati kwani kwa kufanya hivyo
kutawasaidia muwapo faragha
kufurahia kile mnachokifanya kwa
kuwa mtakuwa mmemalzia tofauti
zenu.
Hatua ya pili ni mchezo ya
mahaba:
Mashamsham hunoga na kupamba
moto kiasi cha kumfanya yoyote
aliye kwenye uwanya wa raha
kusahau kwa muda shida na
matatizo yanayomuandama pale
anapokutana an mtu anayeweza
kumpagawisha kwa michezo ya
mahaba kabla ya kuianza safari
yenyewe!
Michezo hii husaidia kuamzsha
hamasa na muhemko baina ya
wapendanao, hivyo ili wapendanao
waweze kufika mwisho wa safari
pamoja na kila mmoja alidhike na
udereva wa mwenzake
uliowafikisha safari yao lazima
watumiye muda wakutosha katika
michozo yakimahaba!
Hata hivyo kila mmoja wenu
anapaswa kuujua mwili wa
mwenza wake. Mwili wa
mwanaume ni rahisi kuuelewa
kwani una sehemu moja kuu
ambayo ni kama kiini cha
muhemko na msisimko wa
mapenzi. Sehemu hiyo ni uume.
Hivyo endapo mwanamke yoyote
atatumia muda wakutosha
kuhangaika na sehemu hiyo basi
mambo huwa safi kwa upande wa
mwanaume.
Mwili wa mwanamke una shughuli
pevu kubaini sehemu zenye
ambazo huamsha hisia za mapenzi
na ndiyo maana wanaume wengi
hushindwa kuwafikisha mwisho wa
safari wapenzi wao. Kiini cha hisia
za mapenzi kwa mwanamke ziko
kwenye kipegere G (namaanisha
critoris wadu, haya ni mambo ya
infenizimu tu). Kipegere G kipo nje
ya uke ambapo wataalamu hudai
kuwa kipo sentimita 4 kutioka
ukeni.
Wanaume wengi wanaelewa hili
lakini walio wengi wamegubikwa
na imani potofu kuwa, kwa
kuingiza kidole ukeni watafanikiwa
kuinua hamasa ya za wenza wao
kutaka kuanzisha safari jambo
ambalo si kweli, kwani wanawake
wengi hujisikia vibaya kuingizwa
vidole ukeni kutokana na ukweli
kwamba kucha zinabeba uchafu na
bakteria wengi ambao
huwasababishia kupata fangasi!
Hivyo basi, endapo wewe ni
miongoni mwa wanaume
waliokuwa wakiaminin dhana hii
nataka nikujulishe kuwa, ukitaka
kumpa msisimko uliotukuka
mwenza wako usiangaike kuingiza
kidole chote ukeni badala yake
hakikisha unatumia kidole chako
(hakikisha si kikavu) kucheza na
sehemu ya nje ya uke ambapo
utakutana na kipegere G na lips za
ndani. Hata hivyo usisahamu
kuhangaika na uke pia lakini hasa
shughulika na sehemu za nje!
MUHIMU KUJUA: Mwanaume
huahamasika kwa sekunde kadhaa
lakini mwanamke humchukua
takriban dakika 20 kuweza
kuamsha hisia zake na kumfanya
awe tayari kwa kuianza safari!
Hivyo, mwanaume mwenye busara
yaani asiye mbinafsi huakikisha
anatumia muda wakutosha
kumuuanda mwenza wake kabla ya
kuanza safari! Hivyo mwanaume
anapaswa kunza michezo ya
mahaba kwa kuzingatia hatua tatu
muhimu ambazo ni:-
Sehemu ya juu:
Wanume wengi kutokana ana
haraka zao hukimbilia sehemu ya
chini ya mwili wa mwanamke
yaani kunako na kuanza ama
kupapasa kwa kidole chake ama
ulimi na baada ya sekunde chache
huanza kumwingilia mwanamke,
lakini mwanaume mwenye kumjali
ampendaye na mwenye nia hasa
yakumfikisha kwenye kilele cha
raha huwa hana papara
huhakikisha anamhagi na kumpiga
mabusu sehemu ya juu ya mwili
wake yaani mdomoni, shingoni,
kwenye matiti, chuchu etc.
Hata hivyo, si wanawake wote
wako sawa, kuna amabo hufurahia
kutomaswa maziwa yao huku
wengine wakichukizwa kutokana na
sababu mbalimbali kwa mfano
kama mwanaume ni mtu
wamitungi ama mvuta sigara
mara nyingi kinywa chake hutoa
harufu mbaya hivyo huwa vigumu
kwa mwanamke asiyependezewa
na matumizi ya vitu hivyo
kufurahia kupigwa denda!
Kimsingi mwanamke kama kweli
unampenda mpenzi wako na
unataka ufurahie majambozi
anayokupa hakikisha unakuwa
muwazi kwa kuanza na
kumuonyesha sehemu zinazokupa
hamasa ya kufanya mapenzi, si
lazima ushike mkono wake na
kuupeleka kunako hiyo sehemu!
Hakikisha pindi mwanaume
anapokugusa sehemu
inayokusisimua unamwonyesha
wazi kuwa hapo unasikia utamu
yaani kama miguno ilikuwa haitoki
hakikisha inaanza toka, kama
pumzi zilikuwa zatoka kawaida basi
zianze toka isivyo kawaida,
nachomaanisha hapa ni kuwa
unapaswa kuonyesha umepagawa
kwa raha unayopata basi kwa
mwanaume aliye kamili hatasita
kuishughulikia kikamilifu sehemu
hiyo!
Sehemu ya chini:
Baada ya kumtomasa kiasi cha
kutosha sehemu ya juu ya
mwanamke, mwanamke huhitaji
kutomaswa sehemu ya chini na
hapa ndipo ambapo unaweza
kuhisi anataka kuingilia mana
huanza ama kujishikasiika sehemu
za chini ama hukupeleka maeneo
yake nyeti upate kumwingilia kwani
huwa amehamasika na ilim kujua
kama amaehamasika basi uke
wake huwa unamajimaji ambayo
hutoka kwa ajili ya kulainisha nyia
ya kupita bwanamkubwa yaani
uume.
Hata hivyo, ili mchezo uwe mtamu
mwanaume anapaswa kuhakikisha
anatumia dakika kadhaa kuuchezea
uke na kufuatia kinena. Hapa
ieleweke kuwa kuna wanawake
baada ya mizuka kuwapanda
hutokwa na majimaji mengi
sehemu zao za siri hivyo endapo
mwanaume ukikutana na hali hiyo
usishutuke jua mzuka imempanda
mpenzi wako tu na si vinginevyo!
Katika kuchezea sehemu zake za
siri mwanaume anapaswa kujua
kuwa kuna wanake wanapenda
chezewa kinena pekee na wengine
hupenda mwanaume atumie ulimi
ama akidole chake (kisiwe kikavu)
kuingiza ukeni huku kidole kingine
kikitomasa kinena hali
inayomsisimua mwanamke. Hivyo
mwanamke anapaswa kuwa
muwazi nini anapenda kufanyiwa!
Katika kipindi hiki mwanamke naye
anatakiwa kutoa ushirikianao wa
miguno na viuno vya hapa na pale
kuashiria anapata raha na
asisahau mptomasa mwanaume,
lakini ikumbukwe kuwa
mwanaume ana sehemu kuu moja
inayomtia wazimu ambayo ni
uume wake hivyo ni rahisi kwa
mwanaume kufika mshindo hata
kabla ya tendon a hapo ndipo
tatizo huibuka kwani wengine
baada ya tendo moja huwa
hawana uwezo wakurudia
mzunguko wa pili!
Nini mwanaume anapashwa
kufanya sasa ili kuhakikisha
hamalizi mzungoko haraka?
Anapaswa kuwa muwazi kwa
mwenza wake endapo mwenza
wake atakuwa anamshika sehemu
ambayo inamnyegesha sana na
kumfanya ajisikie kumaliza
biashara basi amueleze wazi kuwa
aiache sehemu hiyo kwa muda ili
uweze kudumu kunako
majambozi!!
Hata siku moja msifanye mahaba
kimya kimya! Simaanishi mpige
mikelele hadi iwe kero kwa
majirani na nk, elezenaneni kwa
sauti za mahaba nini kila mmoja
wenu anapenda mwenzi wake
afanyiwe na mwenza wake.
Hatua ya tatu:
Kuingiliana kimwili
Mwanaume anapaswa kuahkikisha
amasa za mapenzi za mwanamke
zimeamka kabla ya kumwingilia.
Wanaume wengi kutokana na
papara hujikuta wanawaingilia
wenza wao hata kabla
hawajahamasika na hatimaye
kumaliza tendo pasipo kuwafikisha
kileleni na hili ni tatizo la kawaida
kwa wapenzi wanaokutana kwa
mara ya kwanza na has
amwanamke akiwa na zile nataka
sitaki yani atasumbuana na
mwanaume weeeee na hatimaye
hadi dume lifanikiwe kumwingilia
kimwili inakuwa kama mbakano tu!
Hivyo basi, mwanaume unapaswa
kujua kweli mpenzi wako yuko
tayari kwa tendo la ndoa na utajua
kwa kungalia kwanza mashavu ya
uke wake kama yamekakamaa na
kuongezeka ukubwa huku kinembe
chake kikionyesha kukaza na
mwanamke akifikia hali hii basi
mwanaume huweza kuingiza
uuume wake ambao umesimama
kiurahisi kwani kuta za uke
zitakuwa na ute unaoteleza huku
uume nao ukiwa na ute unaotoka
sehemu ya mbele kabisa hali
inayowafanya wapendanao
kufurahia tendo kwani
hawataumizana!

0 comments:

Post a Comment