ads

Wednesday, February 5, 2014

MAPENZI MATAMU YANA HITAJI UBUNIFU KATIKA MAPENZI KUONGEZA LADHA KWA MWENZI WAKO

2:53 PM By Unknown No comments

Ukweli ni kwamba kitu chochote
tunachokifanya katika maisha
yetu kinahitaji ubunifu ili
kukiboresha kuwa kizuri zaidi
vivyo hivyo katika mapenzi
mwanamke na mwanamume
wanahitajika kuwa wabunifu
katika mambo mbalimbali mfano
kwa mwanamke ambapo kwa
asilimia nyingi inasemekana
mwanamke akiolewa na kupata
mtoto wengi wao wanajisahau
katika mapenzi kama kupika,
usafi wa nyumba na mwili,
matumizi mabaya ya pesa,
mahaba motomoto na vitu
vingine vingi vinavyoendana na
hivyo JAMBO LA MSINGI
TUKUMBUKE KUWA WABUNIFU
naichukia sana kauli ya kusema
"Mwanamume ama mwanamke
hata umfanyie nini haridhiki" hii
ni kauli potofu na ni kujikatisha
tamaa na mwisho wa siku
kujibweteka na kumpoteza
mwenza wako MAPENZI MATAMU
YANAHITAJI UBUNIFU

0 comments:

Post a Comment