Mnamo siku ya Jumatatu historia
iliwekwa katika kanisa la Our
Lady huko Presidio Francisco
jimboni California nchini
Marekani.
Mtu mmoja aitwaye Paul Horner
pichani mwenye umri wa miaka
35 akiwa amevalia suti yake
nadhifu alifunga ndoa na mbwa
wake mwaminifu aitwaye Mac.
Mchungaji aliyefungisha ndoa
hiyo Father McHale alionyesha
kufurahishwa kwake na kitendo
cha yeye kufungisha ndoa hiyo ya
kihistoria nchini Marekani.
0 comments:
Post a Comment