ads

Wednesday, February 5, 2014

SIAMINI NINA MWAKA KWENYE NDOA LEO NDIO NINAGUNDUA MKE WANGU ANA TATTOO YA JINA LA MWANAUME MWINGINE

2:25 PM By Unknown , No comments

Habari Wadau wa Udaku...
Leo nimeuzika sana wadau
Asubuhi wakati napata morning
Glory kwa Mke wangu
nimegundua Kwenye Titi Sehemu
ya chini ana Tatto imeandikwa "I
lov u James" kwa Maandishi
Madogo sana kama haupo makini
unaweza usiyaone...
Nimekaa nae Mwaka mzima Leo
ndio nakuja ona Nilivyojaribu
kumuuliza anakuwa mkali na
kusema ni jina la Ex Wake kabla
hajakutana na Mimi....Wadau
Hapo Mnanishaurije ? Kila
nikiona hiyo Tatoo Am Sure Mood
zitakuwa zikiniisha

0 comments:

Post a Comment