Anaitwa Rehema Chalamila
kwenye stage ya muziki
tunamjua kama Ray C.
Kitu kikubwa kinachosubiriwa
kutoka kwake hivi sasa kazi
zake mpya kwenye muziki
baada ya kukaa kimya kwa
muda mrefu.
Kitu cha kusubiria sio hicho tu
bali Ray C Foundation ni kitu
kingine kitakacho kuja kutoka
kwa Ray C. Ameshare ujio wa
foundation hii kwenye ukurasa
wake wa instagram na
kudokeza kwa maneno
“Coming soon stay tuned!!!!!”
japokuwa hakuweka wazi kazi
ambayo itafanywa na
foundation hiyo.
0 comments:
Post a Comment